Ads Top

UJENZI WA CHOO CHA KISASA KATORO

Mafundi wakiendelea na ujenzi wa choo cha kisasa chini ya usimamizi wa Mwenyekiti wa Serikali ya Mtaa wa Afya.

Wakaazi wa Mtaa wa Afya wakishangilia Mwenyekiti wao baada ya kuwasili baada ya kupata dhamana alikokuwa akishiliwa kwa tuhuma za kufanya kusanyiko lisilo na kibali

























Matofali yaliyotayarishwa kwa ajili ya kukamilisha ujenzi wa choo pamoja na ukarabati wa Zahanati ya Mtaa wa Afya inayokarabatiwa kwa nguvu za wananchi wakishirikiana na Mwenyekiti wa Mtaa huo Massaga Misso 
Mwenyekiti wa Mtaa wa Afya Massaga Misso akisalimiana na mmoja wa wananchi wakazi wa mtaa wa Afya baada ya kuwasili eneo la ujenzi wa Zahanati ya Mtaa huo  

Picha na Antony Sollo

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.