KAMBI YA JWTZ YAVAMIWA NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI
Jenerali Davis Adolf Mwamunyange
Mtu
mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi wakiwa na wenzake waliingia katika
kambi ya JWTZ 511 KJ bohari kuu ya kijeshi iliyopo Gongolamboto jijini
Dar es Salaam kwa lengo la kutaka kupora silaha askari waliokuwa ulinzi
ndani ya kambi hiyo.Kutokana na purukushani ya tukio hilo mmoja wa majambazi hayo aliuwawa na wananchi wenye hasira kali.
No comments: