Mama Salma Kikwete,Bernard Membe na Ridhwani Kikwete Wakijadili Jambo
Wajumbe wa Halmashauri kuu ya CCM taifa na mke wa Rais Mama Salma Kikwete(wa kwanza kulia)Waziri wa Mambo ya nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe(wa pili kushoto) na Ridhwani Kikwete(katikati) wakijadiliana jambo muda mfupi kabla ya ufunguzi rasmi wa mkutano wa Halmashuari kuu ya CCM taifa katika jengo la White House, mjini Dodoma Jana
No comments: