Rais Jakaya Kikwete Azindua Rasmi Ujenzi wa Bomba la Gesi Asilia toka Mtwara hadi Dar es salaam
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizindua rasmi ujenzi wa bomba la
gesi asilia toka Mtwara hadi Dar es salaam leo Novemba 8, 2012 maeneno
ya Kinyerezi njijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Makamu wa Rais Dkt
Mohamed Ghalib Bilali.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Makamu wa Rais Dkt Mohamed
Ghalib Bilali na viongozi wengine wakimsikiliza Waziri wa Nishati na
Madini Profesa Sospeter Muhongo miundombinu ya bomba la gesi asilia
toka Mtwara hadi Dar es salaam leo Novemba 8, 2012 maeneno ya Kinyerezi
njijini Dar es salaam. Nyuma yake ni Makamu wa Rais Dkt Mohamed Ghalib
Bilali.
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa kampuni inayojenga bomba
la gesi asilia kutoka Mtwata hadi Dar es salaam, Benki ya Exim ya China
na viongozi waandamizi wa serikali alipowakaribisha Ikulu kwa mazungumzo
baada ya uzinduzi rasmi wa ujenzi wa bomba hilo maeneo ya Kinyerezi
jijini Dar es salaam.Picha na IKULU
No comments: