Ads Top

Kutoka IKULU Wakati Rais Jakaya Kikwete Alipolihutubia Bunge Mjini Dodoma Jana

Rais Jakaya Kikwete akilihutubia Bunge Jana Mjini Dodoma.
  Baadhi ya wabunge wakimsikiliza kwa makini Rais Kikwete Bungeni jana
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisaini Kitabu cha Wageni katika ofisi ya Spika Jana muda mfupi kabla ya kulihutubia Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Kushoto ni Spika Mhe.Anna Makinda na kulia ni Waziri Mkuu Mizengo Pinda. Picha na IKULU

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.