Ads Top

KUTOKA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI: WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHINI DKT EMMANUEL NCHIMBI NA WAZIRI WA UCHUKUZI DR HARRISON MWAKYEMBE WAFANYA KIKAO NA WATENDAJI WAKUU WA WIZARA ZAO JIJINI DAR ES SALAAM

 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akizungumza na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Uchukuzi (hawapo pichani) katika Kikao cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam. Kulia ni Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe.
 Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kushoto-meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Uchukuzi katika Kikao cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam. Kulia (meza kuu) ni Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe.
Waziri wa Uchukuzi, Dk Harrison Mwakyembe (kulia-meza kuu) akizungumza na Watendaji Wakuu wa wizara yake pamoja na wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi katika Kikao cha utendaji kazi cha kuimarisha uhusiano kati ya wizara hizo kilichofanyika katika Ukumbi wa Mikutano wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi jijini Dar es Salaam. Kushoto (meza kuu) ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi. Picha na Felix Mwagara, Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.


KUTOKA  KITENGO CHA MAWASILIANO YA SERIKALI

WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.