MSAADA WA HALI NA MALI UNAHITAJIKA KUNUSURU MAISHA YA MTOTO HUYU
Usishuke chini bila ku comment amina maana amina yako ina
nguvu kubwa ya kuokoa maisha ya huyu bint. Pia SHARE sana ili ndugu na jamaa
waweze kumsaidia mtoto huyu!Mtoto Khadija Omari mwenye umri wa mwaka mmoja na
miezi mitano anaomba msaada wa upasuaji wa uvimbe mkubwa alionao kwenye kitovu.
Hivi sasa Khadija ameelazwa wodi namba 3 ghorofa ya tisa hospitali ya rufaa
bugando jijini Mwanza kwaajili ya uchunguzi wa kina wa kitatibu wa kidonda
kabla ya hatua ya upasuaji kufanyika.Yeyote mwenye mchango wa kuokoa maisha ya
mtoto huyu mkazi wa nyakato manispaa ya Musoma anaweza kuwasiliana na George
Marato wa ITV na Redio One kwa namba namba za simu: 0767 446518,
0787446518 au 0713446518.
Kila utakachokitoa utalipwa na kuzidishiwa na mwenyezi
mungu.
No comments: