Ads Top

KAMANDA WA POLISI MWANZA AUAWA

Habari za uhakika zinadai kwamba kamanda Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mwanza Liberatus Barlow ameuawa kwa kupigwa risasi usiku maeneo ya Kitangiri jijini Mwanza. Chanzo:
Mwandishi Chilangazi Fredrick , Mwanza

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.