Ads Top

KAMBI YA JWTZ YAVAMIWA NA WATU WANAOSADIKIWA KUWA NI MAJAMBAZI

 
Jenerali Davis Adolf Mwamunyange
Mtu mmoja anaedaiwa kuwa ni jambazi  wakiwa na wenzake waliingia katika kambi ya JWTZ 511 KJ bohari kuu ya kijeshi iliyopo Gongolamboto  jijini Dar es Salaam kwa lengo la kutaka kupora silaha askari waliokuwa ulinzi ndani ya kambi hiyo.
Kutokana na  purukushani ya tukio  hilo mmoja wa majambazi hayo aliuwawa na wananchi wenye hasira kali.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.