Ads Top

RAIS JAKAYA MRISHO KIKWETE AFUNGUA MKUTANO WA BENKI YA MAENDELEO AFRIKA - afDB

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Africa afDB katika ukumbi wa AICC jijini Arusha leo Mei 31, 2012.

Ukumbi wa AICC wakati Rais Jakaya Kikwete alipokuwa akifungua Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Bodi ya Magavana wa Benki ya Afrika afDB leo Mei 31, 2012.
PICHA NA IKULU





No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.