Updates: Mkurugenzi Mkuu athibitisha kuwa mpaka sasa watu 13 wamefariki na Majeruhi kufikia 20 , Tunaomba Radhi kwa picha mtakazo ziona
Mkurugenzi Mkuu wa Hospitali ya Rufaa Dr.Sankey akithibitisha vifo vya Abiria 13 na Majeruhi 20

Shuhuda aliye kuwa katika Ajali hiyo akitoka kutoa Ushahidi

Miili ya Marehemu katika Chumba cha kuhifadhia maiti kwa ajili ya Utambuzi

Mamia ya watu wamefika Hospitalini hapo Kutambua Miili ya Ndugu zao

Moja ya Maiti ikiwa Wodini kabla ya kupelekwa chumba cha kuhifadhia Maiti

Watu Mbali Mbali wakielekea Kutazama Miili ya Marehemu

Watu wanazidi kumiminika kutazama Miili ya Marehemu Hospitalini Hapo
No comments: