KATIBU WA JUMUIYA NA TAASISI ZA KIISLAM SHEIKH ISSA PONDA NA WENGINE 50 WAPANDISHWA KIZIMBANI LEO JIJINI DAR ES SALAA M
Picha juu na chini ni washaktakiwa zaidi ya
50 wakiwa pamoja na Katibu wa Jumuiya na Taasisi
za Kiislam,Sheikh Issa Ponda wakiwa ndani ya karandimnga la polisi
Baadhi ya akina mama wanaounganishwa kwenye mashtaka
hayo pamoja na Katibu wa Jumuiya na Taasisi za
Kiislam,Sheikh Issa Ponda
Katibu wa Jumuiya na Taasisi za
Kiislam,Sheikh Issa Ponda (wa tatu
kulia)leo akiwa ndani ya mahakam ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam
leo na wenzake 50 kujibu mashtaka mbalimbali pamoja na kuwashawishi baadhi ya Waislamu
kuvamia eneo la Kiwanja katika eneo la Chang'ombe jijini Dar es Salaam,
kuwashawishi Waislamu kutojitokeza katika zoezi la Uandikishaji katika Sensa ya
Watu na Makazi.
No comments: