MAMIA WAMZIKA SHARO MILIONEA MUHEZA MKOANI TANGA

Mwili wa Marehemu Sharo Milionea ukiswaliwa mapema mchana huu kabla ya kupelekwa kwenye nyumba yake ya milele


Sehemu Kubwa ya Umati wa watu ulikishiriki mazishi

Rafiki
mkubwa wa marehemu Sharo Milionea,Mzee Majuto akiwa ameshikwa mkono na
Msanii wa filamu JB wakielekea kwenye mazishi mapema mchana huu,Muheza
mkoani Tanga.Picha
Kwa Hisani Ya Ahmed Michuzi
No comments: