VIONGOZI WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI WAKIONGOZWA NA RAIS JAKAYA KIKWETE WAZINDUA BARABARA YA ARUSHA-NAMANGA-ATHI RIVER
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akipanda Mti muda mfupi baada ya Kuwaakiwasili katika Uwanja wa Ndege wa
kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Kenya Jumatano Novemba 28, 2012
tayari kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi River
pamoja na Mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
utaozungumzia maendeleo ya miundombinu. Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa
Ismailia Mtukufu Aga Khan naye alikuwepo hapo uwanjani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiwasili katika Uwanja wa Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi
Kenya Jumatano Novemba 28, 2012 tayari kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa
barabara ya Arusha-Namanga-Athi River pamoja na Mkutano wa Wakuu wa nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utaozungumzia maendeleo ya
miundombinu. Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia Mtukufu Aga Khan naye
alikuwepo hapo uwanjani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akisaini kitabu cha Wageni Muda mfupi baada ya Kuwakiwasili katika Uwanja wa
Ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Kenya Jumatano Novemba 28,
2012 tayari kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi
River pamoja na Mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika
Mashariki utaozungumzia maendeleo ya miundombinu. Kiongozi wa Jumuiya ya
Waislamu wa Ismailia Mtukufu Aga Khan naye alikuwepo hapo uwanjani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akijadiliana Jambo na Viongozi wenzake kwenye sherehe za ufunguzi wa barabara
ya Arusha-Namanga-Athi River pamoja na Mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa
Jumuiya ya Afrika Mashariki utaozungumzia maendeleo ya miundombinu. Kiongozi wa
Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia Mtukufu Aga Khan naye alikuwepo hapo uwanjani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akishiriki katika uzinduzi rasmi wa Barabara ya Arusha –Namanga
– Athi River yenye urefu wa kilometa 104.4 kwa upande wa Tanzania
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie wa nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika
Mashariki wakikata utepe kwa pamoja kuzindua rasmi wa Barabara ya
Arusha – Namanga– Athi River yenye urefu wa kilometa 104.4 kwa
upande wa Tanzania
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika Uwanja wa Ndege
wa kimataifa wa Jomo Kenyatta jijini Nairobi Kenya Jumatano Novemba 28,
2012 tayari kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa barabara ya
Arusha-Namanga-Athi River pamoja na Mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama
wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utaozungumzia maendeleo ya miundombinu.
Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia Mtukufu Aga Khan naye
alikuwepo hapo uwanjani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akihutubia kwenye sherehe
za ufunguzi wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi River pamoja na Mkutano wa Wakuu
wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki utaozungumzia maendeleo ya
miundombinu. Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa Ismailia Mtukufu Aga Khan naye
alikuwepo hapo uwanjani
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi wenzie
wa nchi wanachama za Jumuiya ya Afrika Mashariki wakiwa katika picha ya
pamoja na wadau mbalimbali waliofanikisha ujenzi wa barabara ya Arusha –
Namanga – Athi River

Sehemu ya skari wa Kenya
Walioshiriki kwenye Uzinduzi wa wa barabara ya Arusha-Namanga-Athi River pamoja
na Mkutano wa Wakuu wa nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki
utaozungumzia maendeleo ya miundombinu. Kiongozi wa Jumuiya ya Waislamu wa
Ismailia Mtukufu Aga Khan naye alikuwepo hapo uwanjani.Picha na IKULU
---
---
Viongozi wakuu wa nchi
wanachama wa Jumuiya ya Afrika mashariki Jumatano Novemba 28, 2012 wamefungua
rasmi wa barabara ya Arusha – Namanga kwa upande wa Tanzania, na Namanga– Athi
River kwa upande wa Kenya, kama sehemu ya mkutano wa kilele wa wakuu wa nchi
unaofanyika Nairobi, Kenya.
Barabara ya Arusha – Namanga – Athi River yenye urefu wa
kilometa 104.4 kwa upande wa Tanzania ilikuwa ni mojawapo ya shughuli za
uzinduzi rasmi wa Makao Makuu Mapya za Jumuiya uliofanyika mapema siku hiyo
hiyo jijini Arusha, kabla ya viongozi hao kuelekea Athi River kwa ufunguzi wa
barabara hiyo.
Ujenzi
wa barabara ya Tanga–Horohoro, yenye urefu wa kilomita 66 pia nao umekamilika
na tayari imeanza kurahishisha usafiri na usafirishaji baina ya Tanzania
na Kenya na nchi nyingine wanachama.
Barabara
nyingine zilizopo katika mtandao wa barabara wa Jumuiya zinazoendelea kujengwa
kwa upande wa Tanzania, ni pamoja na zile za mtandao wa Dar es
Salaam-Isaka-Lusahunga na Mutukula hadi Masaka; Lusahunga-Nyakasanza hadi
Rusumo, na Rusumo-Kigali hadi Gisenyi.
Nyingine
ni Biharamulo - Mwanza - Musoma - Sirari - Lodwar – Lokichogio; Tunduma -
Sumbawanga - Kigoma - Manyovu (Mugina) - Rumonge - Bujumbura - Ruhwa (Bugarama)
– Karongi hadi Gisenyi, pamoja na ile ya Tunduma - Iringa – Dodoma - Arusha -
Namanga hadi Moyale.
Ujenzi
wa barabara hizi utarahisisha usafiri na usafirishaji wa bidhaa na huduma baina
ya nchi wanachama, na hivyo kupunguza gharama za uzalishaji na vilevile gharama
za kufanya biashara katika nchi za Jumuiya na hivyo kuvutia uwekezaji.
No comments: