Ads Top

MWANAMKE ALIEMCHOMA MTOTO MKONO APANDISHWA KIZIMBANIA LEO MKOANI MBEYA

YULE MWANAMKE KATILI(PICHANI) WA MWAKA 2012 ALIYEJIZOELEA UMAARUFU WA UKATILI NA UNYAMA LEO TAREHE 22 ASUBUHI AMEFIKISHWA KATIKA MAHAKAMA YA WILAYA YA MBEYA AWALI MWANAMKE HUYU ALIFIKISHWA MAHAKAMANI HAPO AKIKABILIWA NA MAKOSA YA KUMFANYIA UKATILI MTOTO MWENYE UMRI WA MIAKA MINNE KINYUME CHA SHERIA
mtoto aliyekatwa mkono Aneth  kutokana na Manyanyoso ya aliyechomwa mkono nakupelekea  kukatwa akiwa amebebwa na Mama yake akiendelea vizuri mzazi mahakama ya wilaya mbeya  leo ni mara ya pili kwa mama yake huyo mdogo kufikishwa mahakamani kutokana na kosa la kumnyanyasa.Picha na Habari kutoka Mbeya na Joseph Mwaisango

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.