SHABANI MARANDA, FARIJALA HUSSEIN WAHUKUMIWA KWENDA JELA BAADA YA KUPATIKANA NA HATIA YA KUGHUSHI NA KUSABABISHIA SERIKALI HASARA YA SH BILIONI 3.8
Shaban Maranda na Farijala Hussein wakitoka katika Mahakama ya Hakimu
Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kuhukumiwa kifungo cha
kwenda jela, ambapo Maranda amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na
Farijala miaka mitatu jela baada ya kupatikana na kosa la kughushi na
kuisababishia serikali hasara ya sh. bilion 3.8.
Shaban Maranda na Farijala Hussein wakipanda karandika la Jeshi la
Magereza kuendelea kutumikia vifungo vyao baada ya kuhukumiwa na
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Maranda
amehukumiwa na mahakama hiyo kifungo cha miaka miwili na Farijala miaka
mitatu baada ya kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia serikali
hasara ya sh. bilion 3.8
No comments: