Nov 4 Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Tanzania,SACP Mohamed Mpinga Afunga mafunzo ya waendesha pikipiki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini Dar es Salaam
Mgeni rasmi,Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Tanzania,SACP Mohamed Mpinga akimkabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu ya mafunzo ya waendesha piki piki yaliyofanyika chuo cha ufundi stadi-VETA Chang'ombe jijini jana.Vijana wapatao 301 kutoka Temeke walipewa vyeti
Kamanda Mpinga akiongea na wahitimu, L to R ACP Missime RPC Temeke, Yakub Rajab TDA, Mkurugenzi manispaa temeke,M/kiti Bodi ya ushauri, Mkuu wa chuo cha VETA, ACP Kahatano Traffic Kuu
Onyesho la Mishikaki ambapo waendesha piki piki hap wameapa kutopakia abiria zaidi ya mmoja.
Wahitimu hao wakiserebuka kidogo
Wahitimu wa mafunzo ya uendeshaji boda boda wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri kwenye hafla hiyo.
Waendesha piki piki wakila kiapo cha utii.Picha zote na Kamanda wa Polisi kikosi cha usalama barabarani Tanzania,SACP Mohamed Mpinga - CO Traffic
No comments: