VUGUVUGU LA MAANDAMANO LAWA TISHIO KATIKA PICHA NI ASKARI WAKIWA KATIKA DORIA

Askari wa Kikosi Maalumu cha kupambana na uharifu, wakianza safari ya kuwasaka baadhi ya watu wanaodaiwa kuwa ni waumini wa kislamu wenye masimamo mkali, kutoka katika msikiti wa Idrisa Kariakoo, waliokaidi amri ya serikali kutoandamana hapo jana, watu kadhaa wanashikiliwa na Polisi kutokana na tukio hilo.
No comments: