Kutoka Ofisi ya Makamu wa Rais:Makamu wa Rais Dk Gharib Bilal Ashiriki Sherehe za Kutunuku Nishani Ikulu Jijini Dar es Salaam
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya
Ushupavu, P.8183 Maj M.A Hassan-Mkoa wa Kigoma, wakati wa sherehe ya
kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar
es Salaam.
Bi Kidude, akiwa katika pozi baada ya kuvishwa Nishani yake na Rais Kikwete, huku akiimba wimbo wake wa Laiti, kwa pozi.
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya
Sanaa na Michezo, Muhidin Mwalimu Gurumo Habari,Utamaduni na Michezo,
wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja
vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya
Jamhuri ya Muungano Daraja la 1, Dkt. Mohamed Seif Khatib- Ofisi ya
Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana
kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema
Daraja la (I), Alhaj Ramadhan Mussa Kijjah-Wizara Fedha, wakati wa
sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu,
jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya
Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (I), Ludovick Silemwa Lemnge
Utouh- Ofisi ya Taifa ya Ukaguzi, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani,
iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya
Utumishi Mrefu na Maadili Mema Daraja la (ii), Ruth Rashid- Ofisi ya
Makamu wa Rais, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana
kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Rais Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya
Utunzaji Mazingira daraja la (I) Bw. Reginald Abraham Mengi_Kamati ya
Nishani, wakati wa sherehe ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye
Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es Salaam.
Bw. Mengi akifurahia Nishani yake na kupozi kwa picha na Rais Jakaya Kikwete, baada ya kutunukiwa.
Rais
Jakaya Kikwete, akimvisha Nishani ya Utumishi Mrefu na Maadili Mema
Daraja la (ii), Ruth Rashid- Ofisi ya Makamu wa Rais, wakati wa sherehe
ya kutunuku Nishani, iliyofanyika jana kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini
Dar es Salaam.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi, James Mbatia, wakati wa
sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya Uhuru iliyofanyika kwenye Viwanja
vya Ikulu Dar jana usiku.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiteta jambo na Inspekta General, Said Mwema na Kamishna wa Polisi
Zanzibar, Mussa Ali, wakati wa sherehe ya maadhimisho ya miaka 51 ya
Uhuru iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu Dar jana usiku.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza mwanamuziki wa Msondo,
Muhidin Gurumo, kwa kutunukiwa Nishani ya sanaa na Rais Kikwete.
Baadhi ya Watunukiwa wakiwa katika hafla hito wakati wakisubiri kutunukiwa.
Rais Jakaya, na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya
Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Rais wa Zanzibar, Dkt.
Shein na mkewe, Bi Mwanamwema, wakiwa katika picha ya pamoja na wasanii
wa kikundi cha sanaa cha Taifa cha Rwanda wakati wa hafla ya usiku ya
miaka 51 ya Uhuru, iliyofanyika kwenye Viwanja vya Ikulu, jijini Dar es
Salaam jana.Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais
No comments: