Ads Top

Rais Jakaya Kikwete Atunuku Nishani 40 Ikulu Jijini Dar es Salaam Wakati wa Sherehe za miaka 51 ya Uhuru Yumo Bi Kidunde na Mzee Muhidini Ngurumo

 Bi. Kidude akiveshwa nishani na Rais Jakaya Kikwete Ikulu leo
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete leo mchana ametunuku  nishani kwa watu kutoka makundi mbalimbali yajamii waliotumikia taifa kwa uadilifu na kutoa mchango wa pekee.Miongoni wa waliotunukiwa nishani leo ni pamoja na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa Eusebia Munuo pamoja na Msanii Mkongwe Bi.Fatma Baraka Khamis(Bi.Kidude).Wengine waliotunikiwa nishani ni pamoja na Watumishi wa umma na askari Jeshi na Polisi.
Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufaa, Eusebia Munuo akivishwa nishani
Rais jakaya Kikwete akimvisha nishani Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue leo ikulu Jijini Dar es 
Picha na IKULU

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.