KILI MUSIC TOUR YAFUNIKA JIJINI DAR USIKU WA KUAMKIA LEO KATIKA VIWANJA VYA LEADERS
The True
Boy Ney wa Mitego, anajiita rais wa manzese akiporomosha song lake la
Salamu zao Kwa Mashabiki waliofurika Katika viwanja vya leaders usiku wa
Kuamkia leo katika Kili Music Tour.

JideJaydee na Mr Blue wakiimba "Wangu"
katika Tamasha la Kili Music Tour lililofanyika Usiku wa Kuamkia leo
Katika Viwanja Vya Leaders.
Si mwingine ni Roma Mkatoliki akiendeleza makamuzi katika Kili Music Tour Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja Vya Leaders ambapo Kili Music Tour ndio imehitimishwa jijini Dar Usiku wa Kuamkia leo

Recho katika jukwaa la Kili Music Tour
Usiku wa Kuamkia leo katika Viwanja vya leaders akitoa burudani kwa
wakazi wa Jiji la Dar na Vitongoji Vyake wakati wa Tamasha hilo
lililofanyika katika Viwanja Vya leaders usiku wa kuamkia leo.
Msanii Recho akikata mauno kuonyesha
uwezo wake katika Jukwaa la Kili Music Tour iliyofanyika usiku wa
Kuamkia leo katika Viwanja Vya leaders
Recho akiwa amebeba na mmoja wa
mashabiki wake aliyemuita jukwaani kwaajili ya kucheza nae, Hapo
akionyesha uwezo wake wa kuzungusha nyonga

Zembwela
na Dullah wakiwa ma MC wa Kili Music Tour iliyofanyika Usiku wa Kuamkia
Leo Katika Viwanja vya Leaders wakijadiliana Jambo

Baadhi ya Wakazi wa Jiji la Dar es
Salaam pamoja na vitongoji vyake wakiwa makini Katika Kufuatilia Show
kutoka kwa Wasanii wa Kili Music Tour iliyofanyika usiku wa Kuamkia leo
katika Viwanja vya leaders.



Umati wa Wakazi wa Jiji la Dar waliofurika katika Viwanja vya Leaders usiku wa Kuamkia leo katika Show ya Kili Music Tour.
Diamond na Ney wa Mitego wakiimba Nyimbo ya Muziki gani katika Jukwaa la Kili Music Tour usiku wa Kuamkia leo
Prof Jay akiwa na lady jay Dee na Nikki
Mbishi wakitoa Burudani kwa wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji vyake
katika Kili Music Tour iliyofanyika katika Viwanja vya leaders usiku wa
kuamkia leo

Diamond na Ney wa Mitego wakitoa Burudani ya kufa mtu
Diamond platnum akiburudisha wakazi wa jiji
Mzee Yusuph nae alikuwepo
Dj Mafuvu kutoka East Africa Tv and Redio akiwapagawisha mashabiki
Usalama ulikuwepo kuhakikisha wasumbufu
wote wanathibitiwa kama ambavyo kijana huyu usiku wake ulipoingia doa
baada ya kukamatwa na wanausalama kwa kumpiga na chupa mmoja wa
wafanyakazi waliokuwepo katika kili Music Tour iliyofanyika usiku
wakuamkia leo katika Viwanja vya leaders.
No comments: