Ads Top

Rais Msataafu Mh. Benjamin Mkapa Atembelewa na Wageni Mbalimbali Nyumbani Kwake Jijini Dar es Salaam

 Rais Msataafu Mh. Benjamin Mkapa akisalimiana na Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia), jana jijini Dar es Salam walipokwenda  kumtembelea.
  Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkurugenzi wa Idara ya Habari (MAELEZO) Assah Mwambene (kulia), jana jijini Dar es Salam walipokwenda  kumtembelea.(pichani katikati) Ni Mkuu wa chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi.
 Rais Msataafu Mh. Benjamin Mkapa (alienyanyua mkono mbele) leo nyumbani kwake jijini Dar es Salaam  akiongea na wageni wake jana nyumbani kwake jijini Dar es Salaam walipokwenda kumtembelea. (Pichani mbele mwenye  Kaunda suti ya cream) ni Mkuu wa Chuo cha Diplomasia Balozi Mohammed Omari Maundi.

Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa Benjamin Mkapa (kushoto) akiongea na Mkuu wa Chuo cha Diplomasia nchini Balozi Mohammed Omari Maundi jana jijini Dar es Salaam. 
Rais Mstaafu Mh. Benjamin Mkapa (kushoto) akimsikiliza Mkuu wa Chuo cha Diplomasia jijini Dar es Salaam Balozi Mohammed Omari Mahundi (kulia)jana  alipokwenda kumtembelea nyumbani kwake.
wageni mbalimbali waliyombelea  nyumbani kwake jijini Dar es Salaam 
Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa (wa tatu kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na wageni wake waliomtembelea nyumbani kwake jana.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.