Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Monduli - CCM Edward Lowassa aendesha Harambee ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT Wilayani Kahama,Zaidi ya Sh. Mil. 212 zapatikana

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akipanda Mti katika eneo la Kanisa hilo.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akiwapungia mkono waumini wa Kanisa la AICT (Africa Inland
Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama Mjini,wakati alipokuwa akiwasili
kwenye kanisa hilo kwa ajili ya kuendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi
wa Shule ya Msingi wa ya Kanisa hilo.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akisalimiana na Wachungaji Mapambano Jacob na Charles Lugembe wa
Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama
Mjini.Kushoto ni Askofu Mkuu wa Kanisa hilo Dayosisi ya Shinyanga,Dkt.
John Kanon Nkola.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akikata utepe na kufungua pazia katika jiwe la msingi ikiwa ni
ishara ya Ufunguzi rasmi wa Jengo la Madarasa ya Shule ya awali ya
Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama
Mjini.ambapo baadae aliendesha Harambee ya Kuchangia Ujenzi wa Shule ya
Msingi wa ya Kanisa hilo.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh.
Edward Lowassa akipokea Michango Mbali Mbali kutoka kwa Marafiki zake.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akipokea zawadi ya kitabu cha Mungu (Biblia) kutoka kwa Askofu
Mkuu wa Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Dayosisi ya
Shinyanga,Dkt. John Kanon Nkola mara baada ya kuendesha Harambee ya
Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa Shule ya Msingi ya
Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania) Pastoreti ya Kahama
Mjini.ambapo zaidi ya Shilingi Milion 212 zilipatikana zikiwemo na
ahadi.

Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward
Lowassa akiendesha Harambee ya Kuchangisha fedha kwa ajili ya Ujenzi wa
Shule ya Msingi ya Kanisa la AICT (Africa Inland Church Tanzania)
Pastoreti ya Kahama Mjini.ambapo zaid ya Shilingi Milion 212
zilipatikana zikiwemo na ahadi.
No comments: