Ads Top

JAMALI Malinzi amechaguliwa kuwa Rais Mpya wa TFF

Baada ya kumpiku mpinzani wake Athuman Nyamlani katika uchaguzi mkuu uliofanyika  jana . Uchaguzi huo, ulitawaliwa na mizengwe kibao ya hapa na pale huku Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakigwa marufuku kuwepo ndani ya chumba cha uchaguzi,hali iliyopelekea kuzua maswali mengi miongoni mwa wadau wa Soka kwamba,kunani safari hii kumekuwa na mizengwe mizengwe ya namna hiyo katika uchaguzi huo.Uchaguzi huo uliokuwa ukisubiriwa kwa hamu na shauku kubwa kwa Wadau wa Soka hapa nchini, ulifanyika katika ukumbi wa NSSF WATER FRONT, jijini Dar es Salaam.

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.