Dk Emmanuel Nchimbi aweka jiwe la msingi katika Zahanati ya Likuyufusi iliyopo katika Kata ya Lilambo Manispaa ya Songea mkoani Ruvuma
Mbunge wa Jimbo la Songea
Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi,
Dk Emmanuel Nchimbi akiweka jiwe la msingi katika Zahanati ya Likuyufusi
iliyopo katika Kata ya Lilambo, Manispaa ya Songea, mkoani Ruvuma. Dk
Nchimbi yupo mjini Songea kwa ziara ya siku tano akikagua pamoja na
kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo jimboni mwake. Hata
hivyo, Waziri Nchimbi aliwaambia wananchi wa eneo hilo kuwa, chama chake
kimefanya makubwa kwa kujenga barabara, shule, pamoja na Zahanati tangu
alipokuwa Mbunge wa jimbo hilo.
Mbunge wa Jimbo la Songea
Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi akipimwa mapigo ya
moyo na Afisa Tabibu, John Katundu baada ya kuweka jiwe la msingi katika
Zahanati ya Likuyufusi iliyopo katika Kata ya Lilambo, Manispaa ya Songea,
mkoani Ruvuma. Kushoto ni Mkurugenzi wa Manispaa ya Songea, Nachoa Zakaria.
Dk Nchimbi yupo mjini Songea kwa ziara ya siku tano akikagua pamoja
na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo jimboni mwake. Hata
hivyo, Waziri Nchimbi aliwaambia wananchi wa kata hiyo kuwa, chama chake
kimefanya makubwa kwa kujenga barabara, shule, pamoja na Zahanati tangu
alipokuwa mbunge wa jimbo hilo.
Mbunge wa Jimbo la Songea
Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kulia) akipokea zawadi ya kuku iliyotolewa
na wapiga kura wake wa eneo la Likuyusi, Kata ya Lilambo, Manispaa ya
Songea, mkoani Ruvuma. Dk Nchimbi yupo mjini Songea kwa ziara ya siku
tano akikagua pamoja na kufungua miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo
jimboni mwake. Hata hivyo, Waziri Nchimbi aliwaambia wananchi hao kuwa,
chama chake kimefanya makubwa kwa kujenga barabara, shule, pamoja na
Zahanati tangu alipokuwa Mbunge wa jimbo hilo.
Wasanii wa Kundi la Star la
mjini Songea mkoani Ruvuma wakitoa burudani ya kucheza na nyoka
kabla ya Mbunge wa Jimbo la Songea Mjini ambaye pia ni Waziri wa Mambo
ya Ndani ya Nchi, Dk Emmanuel Nchimbi (kulia aliyevaa mawani) kuzungumza
na wananchi wa kata hiyo kuhusiana na masuala mbalimbali ya maendeleo.
Dk Nchimbi yupo mjini Songea kwa ziara ya siku tano akikagua pamoja
na kufunmiradi ya miradi mbalimbali ya maendeleo iliyopo jimboni mwake.
Hata hivyo, Waziri Nchimbi aliwaambia wananchi hao kuwa, chama chake
kimefanya makubwa kwa kujenga barabara, shule, pamoja na Zahanati tangu
alipokuwa Mbunge wa jimbo hilo.
No comments: