RAIS JAKAYA KIKWETE AONDOKA ADDIS ABABA BAADA YA KUHUDHURIA KIKAO CHA SIKU MOJA CHA VIONGOZI WA UMOJA WA AFRIKA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole baada ya viongozi hao
kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini
Addis Ababa, Ethiopia Oktoba 12, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe
katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Bole baada ya viongozi hao
kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini
Addis Ababa, Ethiopia.

Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Waziri wa Sheria na Katika
Mhe. Mathias Chikawe na Balozo wa Tanzania nchini Ethiopia Mhe Naimi
Aziz baada ya kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa
Afrika jijini Addis Ababa Oktoba 12, 2013

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na Afisa MWandamizi katika
Ubalozi wa Tanzania nchini Ethiopia Bw. Nsavike Ndatta baada ya
kuhudhuria kikao cha siku moja cha viongozi wa Umoja wa Afrika jijini
Addis Ababa Oktoba 12, 2013

No comments: