Kutoka IKULU: Rais Jakaya Kikwete Akutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya jijini Johannesburg, Afrika ya Kusini


Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpokea Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini
Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013

Rais Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akibadilishana mawazo na Rais Uhuru Kenyatta wa
Kenya aliyemtembelea na kumsabahi hotelini kwake Sandton Sun jijini
Johannesburg, Afrika ya Kusini, leo Oktoba 5, 2013
No comments: