MNYIKA APETA UBUNGE UBUNGO, NGHUMBI APIGWA MWELEKA NA MAHAKAMA KUU
Mnyika alivyoliteka eneo hilo kama mfalme
… Ni furaha tupu kwake.…
Mwenyekiti wa chadema akiingia ndania
Wafuasi wa chama cha ccm wakijadili jambo kabla ya kuingia mahakamani
vyombo vya usalama vilikuwepo
wapenzi wa chadema wakiwa na mabango yenye ujumbe mbarimbari
magari yalio kuwa na madiwani wa chadema
Polisi wakiwa sanjari na msafara wa wafuasi wa Chadema.
MAHAKAMA Kuu leo imetupilia mbali madai ya aliyekuwa mgombea wa ubunge Jimbo la Ubungo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Bi Hawa Nghumbi dhidi ya mbunge wa sasa kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), John Mnyika. Mara baada ya kutangazwa hukumu hiyo, na Jaji Upendo Msuya wafuasi wa chama hicho walilipuka kwa furaha na shangwe nje ya mahakama hiyo wakimpongeza mbunge huyo aliyekuwa anatetewa na wakili Edson Mbogoro.
No comments: