SWAHILI TV EXCLUSIVE RAIS JAKAYA KIKWETE AKUTANA NA UONGOZI WA CCM DMV JIJINI WASHINGTON D.C. SEPT 19,2013
Mhe.
Rais Kikwete akiwa na Bwana DMK Mkurugenzi wa MMK MEDIA GROUP: Swahili
TV, Swahili Radio na Swahilitv Blog.
Viongozi CCM DMV wakijadiliana jambo kabla ya kikao cha Faragha na
Mhe. Rais Kikwete leo Sept 19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
Mh.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete Mwenyekiti CCM Taifa akielekeza jambo katika
kikao chake na uongozi wa CCM DMV. Kikao hiki kimefanyika leo Sept
19,2013 jijini Washington DC, Marekani.
Mhe. Balozi Liberata Mulamula akimsalimia Bwana George Sebo mwenyekiti wa CCM DMV.
No comments: