ZIARA YA UFUNGUZI WA MATAWI YA CCM KATA YA KIJITONYAMA YAFANYIKA
Mbunge
wa Kinondoni Mh. Idd Azan (katikati) akiwa na wenzake wa kwanza
kushoto ni mwenyekiti wa CCM Mkoani Dar es Salaam, Ndugu Ramadhan R.
Madabida na kulia ni mwenyekiti wa CCM Kinondoni ndugu Josephine A.
Mwanga walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge jana
jioni
Mbunge
wa Kinondoni Mh. Idd Azan (kushoto) akiongea na Diwani wa Kigogo, Ndugu
Richard Chengula walipokuwa kwenye ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la
Mwenge jana jioni
Mbunge wa Kinondoni Mh. Idd Azan akiwahutubia wananchi wa Mwenge wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge jana jioni
Mbunge
wa Donge, Zanzibar na Mwenyekiti wa UVCCM Tanzania ndugu Sadifa Juma
Khamis akuwahutubia wananchi wakati wa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la
Mwenge jana jioni
Meya
wa manispaa ya Kinondoni Ndugu Yusuph Mwenda akuwahutubia wananchi
wakatiwa ufunguzi wa matawi ya CCM eneo la Mwenge jana jioni
Baadhi ya wananchi waliofika kwenye mkutano wa ufunguzi wa matawi
Wadau wakisikiliza hotuba
Wananchi wakisikiliza viongozi kwenye mkutano huo
No comments: