IKULU:Rais Jakaya Kikwete Arejea Nchini Akitokea Nchini Uingereza Alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit).
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana Oktoba 2, 2013
akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa
Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit). Anayeongozana naye
ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa wa
Pwani Mhe. Mwatumu Mahiza
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwasili katika uwanja wa ndege wa
kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam jana Oktoba 2, 2013
akitokea London, Uingereza, alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa
Serikali Uwazi (Open Government Partneship Summit), akiongozana na
Makamu wa Rais Dkt Mohamed Gharib Bilali aliyefika kumlaki.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na viongozi mblaimbali
baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere
jijini Dar es salaam Jana Oktoba 2, 2013 akitokea London, Uingereza,
alikohudhuria Mkutano wa Kimataifa wa Serikali Uwazi (Open Government
Partneship Summit).Picha na IKULU
No comments: