Ads Top

MATOKEO YA DARASA LA SABA NOV 2013

Dar es salaam Tanzani Matoke ya Darasa la Saba yametangazwa kwa mwaka huu ufaulu umeongezeka kutoka asilimia 30.72 mwaka jana mpaka asilimia 50.61 mwaka huu kutokana na wanafunzi walio fanya mtihani mwaka huu wa darasa la saba wamefaulu zaidi ukilinganisha na wanafunzi wa mwaka jana Kaimu mtendaji wa Baraza la Mtihani Charles Msonda amesema ufauru katika masomo yote umepanda kwa asilimia kati ya 6.01 na 28.06 ikilinganishwa na mwaka 2012 Mwaka huu watainiwa wamefaulu zaidi katika somo la Kiswahilin kwa asilimia 69.06 na somo walilo faulu kwa kiwango kidogo zaidi ni somo la Hisabati wamefaulu kwa asilimia 28.62 Msonda amesema jumla ya watahiniwa 427,606 kati ya 844,938 walio fanya mtihani huo wamepata alama ya 100 kati ya alama ya 250 idadi hiyo nisawa na asilimia 50.61
 f Matokeo ya darasa la saba (PSLE) 2013

No comments:

UHURUTZ. Theme images by hanoded. Powered by Blogger.